MATOKEO SCAEB

TANGAZO LA MATOKEO YA MWISHO WA MUHULA

*TANGAZO LA MATOKEO YA MWISHO WA MUHULA 2024 ECDE I

Chuo cha Ualimu SIla Arusha kinapenda kuwatangazia wanachuo wote matokeo ya muhula wa hivi karibuni kwa idara Early Childhood Development Education(ECDE) . Matokeo haya yanapatikana kwa ajili yako kwenye tovuti yetu.

 

Kama kuna maswali au wasiwasi wowote kuhusu matokeo yako, tafadhali wasiliana na ofisi za idara husika kwa maelezo zaidi.

Tunapongeza wote waliofanya vizuri katika mitihani yao na tunawatakia mafanikio katika hatua inayofuata ya masomo yao.

Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yetu: www.silacollegearusha.ac.tz

Imetolewa na:
Ofisi ya Habari na Mawasiliano,
Chuo cha Sila Arusha.