UDAHILI

OCTOBER INTAKE

Chuo Cha Sila Arusha, kinapenda kuwatangazia kufunguliwa Kwa Dirisha la usajili Kwa Mwezi wa Kumi almaarufu kama (OCTOBER INTAKE) nyote mnakaribishwa kujiunga.

Kozi zinazotolewa:

1.UALIMU WA SECONDARI (DSEE)

  1. UALIMU DARAJA LA TATU A (IIIA)
  2. UALIMU WA WATOTO WADOGO (ECDE).
  3. HOTEL OPERATIONS
  4. SECRETARIAL & COMPUTER APPLICATION
  5. COMPUTER COURSE
  6. TOURISM AND TOUR GUIDING
  7. TOUR OPERATIONS
  8. INTERNATIONAL LANGUAGES

#silacollegearusha #college #arusha #tanzania