Chuo Cha Sila Arusha, kinapenda kuwatangazia kufunguliwa Kwa Dirisha la usajili Kwa Mwezi wa kwanza almaarufu kama (JANUARY INTAKE) Udahili utaanza tarehe 06 Januari 2025. Nyote mnakaribishwa kujiunga.
Kozi zinazotolewa:
1.DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION
- ECDE CHETI
- ECDE DIPLOMA
- HOTEL MANAGEMENT
- TOUR GUIDING
- SECRETARIAL COURSE
- TOUR OPERATIONS
- COMPUTER COURSE
- INTERNATIONAL LANGUAGES
#silacollegearusha #college #arusha #tanzania