MATOKEO

MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU MWEZI JUNI 2025 ECDE I, ECDE II NA VTC

Wapendwa Wakufunzi na Wanafunzi,

Tunayo furaha kutangaza matokeo ya mtihani wa utimilifu mwezi juni 2025, chuo cha Sila Arusha kwa  mwaka wa masomo 2025. Tunapenda kuwapongeza kwa dhati wanafunzi wote ambao wamefanya kazi kwa bidii kufikia malengo yao ya kitaaluma.

Tunawahimiza wanafunzi wote kupitia matokeo yao kwa makini na kutumia rasilimali zilizopo chuoni kushughulikia masuala au maswali yoyote waliyonayo. Washauri wetu wa masuala ya kitaaluma wapo tayari kutoa mwongozo na msaada kadri inavyohitajika

Ufutao ni mgawanyo wa Matokeo kulingana na Idara

– Semester I (Download Now)

– Semester II (Download Now)

– Semester III (Download Now)

– Semester IV (Download Now)

Kwa mara nyingine tena, hongera kwa wanafunzi wote kwa juhudi zao na mafanikio waliyopata. Tunatarajia kuwa na muhula mwingine wa kitaaluma wenye mafanikio mbele yetu

ICT Department – Sila college