Chuo Cha Sila Arusha, kinapenda kuwatangazia kufunguliwa Kwa Dirisha la usajili Kwa Mwezi wa Tisa almaarufu kama (SEPTEMBER INTAKE) nyote mnakaribishwa kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa chuoni.
Kozi zinazotolewa:
1.DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION
- ECDE CHETI
- ECDE DIPLOMA
- HOTEL MANAGEMENT
- TOUR GUIDING
- SECRETARIAL COURSE
- TOUR OPERATIONS
- COMPUTER COURSE
- INTERNATIONAL LANGUAGES
Kwa Nini Ujiunge na SILA College?
1.Wakufunzi wenye uzoefu
2.Mazingira rafiki kwa kujifunzia
3.Mafunzo ya vitendo na mafunzo kwa vitendo (field & internships)
4.Ushauri wa kitaaluma na huduma kwa mwanafunzi
5.Vyeti vinavyotambulika na NACTVET
Kwa Mawasiliano zaidi:
HEAD QUARTER
Baraa Kwa Mrefu Near Baraa Secondary
TOWN CAMPUS .
Mianzini Mataa , Diplomat House Second floor
P. O .Box 7272 Arusha.
Tell: +255 764 569 908
Tell: +255 768 444 858
Tell: +255 687 485 138
Email: Silacollege2000@gmail.com
Instagram: silacollegearusha
Facebook: Sila College Arusha
website: Silacollegearusha.ac.tz
#silacollegearusha #college #arusha #tanzania




