*TANGAZO LA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU ECDE NGAZI YA CHETI *
Chuo cha Ualimu Sila Arusha kinapenda kuwatangazia wanachuo wote matokeo ya mtihani wa utimilifu malezi na makuzi ya awali ya mtoto ngazi ya cheti uliofanyika December 2024. Matokeo haya yanapatikana kwa ajili yako kwenye tovuti yetu.
Kama kuna maswali au wasiwasi wowote kuhusu matokeo yako, tafadhali wasiliana na ofisi za idara husika kwa maelezo zaidi.
Tunapongeza wote waliofanya vizuri katika mitihani yao na tunawatakia mafanikio katika hatua inayofuata ya masomo yao.
Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yetu: www.silacollegearusha.ac.tz
Imetolewa na:
Ofisi ya Habari na Mawasiliano,
Chuo cha Sila Arusha.




