MATOKEO

MATOKEO YA NUSU MUHULA MARCH 2025

Wapendwa Wakufunzi na Wanafunzi,

Tunayo furaha kutangaza matokeo ya hivi karibuni ya kitaaluma ya chuo cha Sila kwa nusu Muhula March mwaka wa masomo 2025. Tunapenda kuwapongeza kwa dhati wanafunzi wote ambao wamefanya kazi kwa bidii kufikia malengo yao ya kitaaluma.

Tunawahimiza wanafunzi wote kupitia matokeo yao kwa makini na kutumia rasilimali zilizopo chuoni kushughulikia masuala au maswali yoyote waliyonayo. Washauri wetu wa masuala ya kitaaluma wapo tayari kutoa mwongozo na msaada kadri inavyohitajika

Ufutao ni mgawanyo wa Matokeo kulingana na Idara

Kwa mara nyingine tena, hongera kwa wanafunzi wote kwa juhudi zao na mafanikio waliyopata. Tunatarajia kuwa na muhula mwingine wa kitaaluma wenye mafanikio mbele yetu

ICT Department – Sila college