Posted onAuthorSila College ArushaComments Off on TANGAZO LA MATOKEO YA MWISHO WA MUHULA
*TANGAZO LA MATOKEO YA MWISHO WA MUHULA 2024 ECDE I
Chuo cha Ualimu SIla Arusha kinapenda kuwatangazia wanachuo wote matokeo ya muhula wa hivi karibuni kwa idara Early Childhood Development Education(ECDE) . Matokeo haya yanapatikana kwa ajili yako kwenye tovuti yetu.
Wapendwa Wakufunzi na Wanafunzi, Tunayo furaha kutangaza matokeo ya hivi karibuni ya kitaaluma ya chuo cha Sila kwa nusu Muhula March mwaka wa masomo 2025. Tunapenda kuwapongeza kwa dhati wanafunzi wote ambao wamefanya kazi kwa bidii kufikia malengo yao ya kitaaluma. Tunawahimiza wanafunzi wote kupitia matokeo yao kwa makini na kutumia rasilimali zilizopo chuoni kushughulikia masuala au maswali yoyote waliyonayo. Washauri wetu wa masuala ya kitaaluma wapo tayari kutoa mwongozo na msaada kadri inavyohitajika Ufutao ni mgawanyo wa Matokeo kulingana na Idara ECDE I (Download Now) ECDE II (Download Now) HOTEL (Download Now) SECRETARY (Download Now) TOUR GUIDE (Download Now) TOUR OPERATOR (Download Now) Kwa mara nyingine tena, hongera kwa wanafunzi wote kwa juhudi zao na mafanikio waliyopata. Tunatarajia kuwa na muhula mwingine wa kitaaluma wenye mafanikio mbele yetu ICT Department – Sila college
Wapendwa Wakufunzi na Wanafunzi, Tunayo furaha kutangaza matokeo ya mtihani wa utimilifu mwezi juni 2025, chuo cha Sila Arusha kwa mwaka wa masomo 2025. Tunapenda kuwapongeza kwa dhati wanafunzi wote ambao wamefanya kazi kwa bidii kufikia malengo yao ya kitaaluma. Tunawahimiza wanafunzi wote kupitia matokeo yao kwa makini na kutumia rasilimali zilizopo chuoni kushughulikia masuala au maswali yoyote waliyonayo. Washauri wetu wa masuala ya kitaaluma wapo tayari kutoa mwongozo na msaada kadri inavyohitajika Ufutao ni mgawanyo wa Matokeo kulingana na Idara ECDE I (Download Now) ECDE II – Semester I (Download Now) – Semester II (Download Now) – Semester III (Download Now) – Semester IV (Download Now) HOTEL (Download Now) SECRETARY (Download Now) TOUR GUIDE (Download Now) TOUR OPERATOR (Download Now) Kwa mara nyingine tena, hongera kwa wanafunzi wote kwa juhudi zao na mafanikio waliyopata. Tunatarajia kuwa na muhula mwingine wa kitaaluma wenye mafanikio mbele yetu ICT Department – Sila college
Kamati ya Mitihani ya Chuo cha SILA Arusha Tangazo kwa Wanafunzi RATIBA YA MTIHANI WA KUMALIZA KOZI YA MALEZI NA MAKUZI YA MTOTO (NGAZI YA CHETI) Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote wa Chuo cha SILA Arusha kuwa mtihani wa kumaliza kozi ya Malezi na Makuzi ya Mtoto (Ngazi ya Cheti) utafanyika kuanzia tarehe 23/06/2022 hadi 26/06/2025. Hii ni hatua muhimu katika safari yenu ya kujifunza na kujiendeleza katika fani hii ya kipekee. Ratiba ya mtihani imepangwa kwa umakini ili kuwapa fursa nzuri ya kuonyesha maarifa na ujuzi wenu. Tafadhali hakikisheni kuwa mnaingia kwenye chumba cha mtihani muda muafaka na kufuata maelekezo yote yaliyotolewa na wakufunzi wenu. Kwa kuzingatia umuhimu wa mtihani huu, tunawasihi mujiandae vizuri kwa kusoma kwa bidii na kuweka mkazo katika maeneo muhimu yaliyofundishwa. Tunawatakia kila la heri katika mtihani wenu. Tumieni fursa hii kuonyesha maarifa na ustadi wenu katika fani hii muhimu. Tunaimani kuwa mtafanya vizuri na kufikia mafanikio makubwa. Imetolewa na: Kamati ya Mitihani Chuo cha SILA Arusha DOWNLOAD