Posted onAuthorSila College ArushaComments Off on TANGAZO LA MATOKEO YA MWISHO WA MUHULA
*TANGAZO LA MATOKEO YA MWISHO WA MUHULA 2024 ECDE I
Chuo cha Ualimu SIla Arusha kinapenda kuwatangazia wanachuo wote matokeo ya muhula wa hivi karibuni kwa idara Early Childhood Development Education(ECDE) . Matokeo haya yanapatikana kwa ajili yako kwenye tovuti yetu.
*TANGAZO LA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU EDCE NGAZI YA CHETI * Chuo cha Ualimu Sila Arusha kinapenda kuwatangazia wanachuo wote matokeo ya mtihani wa utimilifu malezi na makuzi ya awali ya mtoto ngazi ya cheti uliofanyika june 2024. Matokeo haya yanapatikana kwa ajili yako kwenye tovuti yetu. ECDE I DOWNLOAD HERE Kama kuna maswali au wasiwasi wowote kuhusu matokeo yako, tafadhali wasiliana na ofisi za idara husika kwa maelezo zaidi. Tunapongeza wote waliofanya vizuri katika mitihani yao na tunawatakia mafanikio katika hatua inayofuata ya masomo yao. Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yetu: www.silacollegearusha.ac.tz Imetolewa na:Ofisi ya Habari na Mawasiliano,Chuo cha Sila Arusha.
Kamati ya Mitihani ya Chuo cha SILA Arusha Tangazo kwa Wanafunzi RATIBA YA MTIHANI WA KUMALIZA KOZI YA MALEZI NA MAKUZI YA MTOTO (NGAZI YA CHETI) Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote wa Chuo cha SILA Arusha kuwa mtihani wa kumaliza kozi ya Malezi na Makuzi ya Mtoto (Ngazi ya Cheti) utafanyika kuanzia tarehe 23/06/2022 hadi 26/06/2025. Hii ni hatua muhimu katika safari yenu ya kujifunza na kujiendeleza katika fani hii ya kipekee. Ratiba ya mtihani imepangwa kwa umakini ili kuwapa fursa nzuri ya kuonyesha maarifa na ujuzi wenu. Tafadhali hakikisheni kuwa mnaingia kwenye chumba cha mtihani muda muafaka na kufuata maelekezo yote yaliyotolewa na wakufunzi wenu. Kwa kuzingatia umuhimu wa mtihani huu, tunawasihi mujiandae vizuri kwa kusoma kwa bidii na kuweka mkazo katika maeneo muhimu yaliyofundishwa. Tunawatakia kila la heri katika mtihani wenu. Tumieni fursa hii kuonyesha maarifa na ustadi wenu katika fani hii muhimu. Tunaimani kuwa mtafanya vizuri na kufikia mafanikio makubwa. Imetolewa na: Kamati ya Mitihani Chuo cha SILA Arusha DOWNLOAD
*TANGAZO LA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU ECDE NGAZI YA CHETI * Chuo cha Ualimu Sila Arusha kinapenda kuwatangazia wanachuo wote matokeo ya mtihani wa utimilifu malezi na makuzi ya awali ya mtoto ngazi ya cheti uliofanyika December 2024. Matokeo haya yanapatikana kwa ajili yako kwenye tovuti yetu. ECDE I DOWNLOAD HERE Kama kuna maswali au wasiwasi wowote kuhusu matokeo yako, tafadhali wasiliana na ofisi za idara husika kwa maelezo zaidi. Tunapongeza wote waliofanya vizuri katika mitihani yao na tunawatakia mafanikio katika hatua inayofuata ya masomo yao. Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yetu: www.silacollegearusha.ac.tz Imetolewa na:Ofisi ya Habari na Mawasiliano,Chuo cha Sila Arusha.